DRUG FREE IS POSSIBLE

Advertisements

Sijakataa ni tamu,

Advertisements

But pia inaeza kua sumu,

Ilianza kama joke,

Sai we ni pro wa kusmoke,

Si keja, si chuo, hujali umejaza stock,

Na usipokua keen itakuletea stroke,

We endelea tu kujificha,

Bora usisahau uko na future,

Yes we si wa kwanza,

Na pia haujui nani alianza,

Maisha sio refu sana,

Unaeza uliza Susanna,

The ball is in your coart,

Na usipocheza poa utajipata kwa court,

Najua unajiuliza nitaachaje?

Ni ukweli sio rahisi kama kuambia dem niaje,

Na ni lazima you make up your mind,

Alafu ukue na msee wa kukuremind,

Usijali kila msee humess,

Na hio haiwezi fanya God asikubless,

Ujing’oe kwa rende ya tei na boza,

Na ujifunze kusongeza juu troza,

Alafu si unajua God anakupenda?

So maisha yako kwake surrender,

Ati ni ngumu kuacha hio ni mentality,

Na usipochange utasema hivyo for eternity,

Say no to drugs,

Get someone out of drugs,

It’s is possible,

So let’s get responsible.

Inshallah

Jamie

Advertisements

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *